Wakati wa kufanya savei ya barabara, angalia:
- Kuna njia ya baisikeli au njia inatumikwa na baisikeli pamoja na watembea kwa miguu
- Kuna vitu vinavyo linda baisikeli kutoka magari au vinavyoziba magari kuingia njia ya baisikeli
- Kuna vitu vinavyo ziba watembea kwa miguu kuingia njia ya baisikeli
- Njia ina lami au vyumbi. Iko kwenye hali gani na kuna mashimo mengi?
- Kuna vitu vinavyoziba njia ya baisikeli kama:
- Magari yanayopaki
- Watu wengi
- Vituo vya mabasi
- Wafanyabiashara wanaouza mtaani
- Vitu vinavyosababisha mpanda baisikeli kushuka baisikeli na kupanda tena
- Magari yanaenda uharaka gani? Wanaendesha vizuri au vibaya?
- Wapi kuna zebra crossings?
- Wapi kuna polisi ya trafiki
- Wapi kuna fundi baisikeli
- Piga picha kama una kamera